Plots for sale at Kiluvya, Pwani


Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Kiluvya! Hapa ni kabla hujafika Kwa masister! Bei Kwa square meter ni shilingi 15,000/=
Viwanja katikati ya Makazi! Vimezungukwa na majirani Kila upande! Fika site uweze kuchagua Kiwanja Chako mapema na Haraka Zaidi!
Utaratibu wa Malipo na Ukubwa wa Viwanja
1. Kuanzia 500m² Hadi 1384m²
2. Bei 15,000/= Kwa square meter
3. Malipo ya Awali 1,000,000/=
4. Kiasi kinachobaki utalipia ndani ya miezi kumi
5. Ofisini: Kiluvya Madukani
Kwa MAWASILIANO
0659 972 868
0763 172 814