Plots for sale at Kiluvya, Pwani
Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Kiluvya Kwa Masister. Hapa Kuna Makazi ya watu wengi na wakazi wapya wanaongezeka Kila siku! Unachotakiwa kufanya ni kufika hapa site uchague Kiwanja Chako Kisha uanze malipo!
Make sure unajipatia KIWANJA chako hapa! Na ulipe kidogo kidogo ndani ya Mwaka mmoja.
Utaratibu wa Malipo
Unaanza na shilingi 1,000,000/= Kisha kilichobaki utalipia taratibu ndani ya Mwaka mmoja.
Mfano.
Ikiwa Kiwanja kina ukubwa wa square 400( yaani 20 Kwa 20) Basi Kiwanja hicho utakipata kuanzia shilingi 4,600,000/= Hadi 6,000,000/= kulingana na Mradi ambao utakuwa umechagua.
Maana yake ni nini!?
Hapa Kwa Masister Kuna miradi minne Tofauti,upo ambao unaweza kupata plot Kwa shilingi 11,500/= Kwa square meter,12,500/= ,13,500/= na shilingi 15,000/=
Ukubwa wa Viwanja ni kuanzia 400m² Hadi 1500m²
Ikiwa unahitaji kufika site,wasiliana nasi Kwa Zifuatazo
0659 972 868
0763 172 814