Plots for sale at Kiluvya, Pwani
Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Kiluvya Kwa Masister! Kuanzia 11,500/= Hadi 15,000/=
Hapa Kwa Masister Kuna miradi minne tofauti
1. Upo mradi ambao utapata Kiwanja kuanzia 11,500/= mfano 20 x 20 ni wastani wa shilingi 4,600,000/=
2. Mwingine 12,500/= mfano 20x20 ni wastani wa shilingi 5,000,000/=
3. Unafuata ni 13,500/= mfano 20x20 ni wastani wa shilingi 5,400,000/=
4. Mradi wa Mwisho kabisa unapata Kwa shilingi 15,000/= mfano 20x20 ni wastani wa shilingi 6,000,000/=
Ndugu Mteja,unapofika site ndio unapata Fursa ya kutofautisha bei kulingana na Mradi Husika!
Kwa mawasiliano Zaidi
Tupigie Kwa simu Zifuatazo
0763 172 814
0659 972 868