Plots for sale at Kiluvya, Pwani


VIWANJA VINAUZWA Kiluvya Makurunge Kwa Masister,bei ni shilingi 4,600,000/=
Vipo Viwanja vya aina zote,ukitaka tambarare IPO,ukitaka slope vipo, ukitaka vya juu kabisa vipo! Yani ukifika site unaweza kunielewa nini namanisha! Barabara zote zinapitika vizuri sana!
Kazi yako wewe ndugu mteja ni kufika site na kuchagua Kiwanja Chako,uanze Malipo Kisha upate Hati Yako baada ya kukamilisha malipo,Kisha uendelee na utaratibu wa kuendeleza eneo lako!
Muhimu: Kuanza ujenzi ni maamuzi yako hata kama bado Upo kwenye kusubiri Hati Yako Itoke Wizarani...
Narudia Tena,Kiwanja hapa ni shilingi 4,600,000/= ukubwa wake ni 400m²! Viwanja vipo vyenye ukubwa Hadi 1200m² Kwa iyo chagua kulingana na uwezo wako wa kununua au kumiliki...
Kama una maswali tupigie
0659 972 868
0763 172 814