Plots for sale at Kingo, Morogoro


KINGO PROPERTY LIMITED...Karibu sana viwanja bado vipo vilivyopimwa tambalale miji iliyojengeka kama unavyo ona pichani njoo tukumilikishe kiwanja chako kuanzia bei ya shiling laki nane na kuendelea hii sio NDOTO ni kweli kabisa karibu sana miradi yetu ipo KIGAMBONI MWASONGA,VIANZI, VIKINDU,GEZA,DEGE,KONGOWE,CHANIKA, na maeneo mengine ndani ya Jiji la Dar es. salaam fika ofisini kwetu KIGAMBONI mji mwema tukupeleke saite zetu. Bure kabisa bila gharama yeyote ile ya usafiri au tupigie kwa namba za simu zifuatazo....0714-804182.
KINGO PROPERTY LIMITED TUNASUKUMA NDOTO YAKO YAKUMILIKI MJENGO!!!