Plots for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Project
Yes

BAHARI BEACH PROJECT AD.

Upepo unaousikia unavua kutokea Bahari Beach, Dar es Salaam, Tz.
Na Kama unanisikia mimi nisikilize nikwambie, Viwanja vya Makazi Vinauzwa Bahari Beach karibu kabisa na Bara Beach.

Viwanja hivi vinawakilisha fursa dhabiti ya uwekezaji, huku eneo lake la kimkakati likihakikisha uwezekano mkubwa wa kupanda kwa thamani kadri muda unavyokwenda.

Umeme na Maji vinapatikana kwa urahisi yaani miundombinu yote ipo vizuri. viwanja hivi ni unanunua na kuanza kujenga mara moja bila stress za upimwaji na kufatilia hati kwani Viwanja vyote vimepimwa na vina hati kutoka Wizara ya Ardhi.

1.⁠ Viwanja vino kutoka Baharini ni ⁠chini ya mita 100
2.⁠ ⁠750m tu kutoka Barabara Kuu
3.⁠ ⁠10m Kuendesha gari hadi Barabara ya Bagamoyo
4.⁠ ⁠ 5km tu kutoka Kunduchi Beach Resort
5.⁠⁠⁠⁠⁠Shule nyingi za Msingi na Sekondari katika Eneo hilo ikiwa ni pamoja na Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Feza.

Wahi sasa maana viwanja ni vichache na vizuri vyenye ukubwa wa wastani wa 1000m2.

Bei ni kuanzia TZS 310,000/= kwa sqm kiasi hiko ni pamoja na gharama za uhamisho wa umiliki wa kiwanja. Kwa maelezo zaidi tupigie
0768 426 942 au 0659156315.

WEKEZA BAHARI BEACH LEO, ARDHI HAIJAWAHI KUSHUKA THAMANI.

THINK BIG REAL ESTATE
think_big_realestate
THINK BIG REAL ESTATE

Similar items by location

House for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam

$ 850,000

NEW HOUSE FOR SALE LOCATED AT KUNDUCHI BEACH ———————————————PRICE: USD 850,000$ NEGOTIABLE PRICE: B...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kunduchi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba• • • • • •#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kunduchi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#LAKI 500,000INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZIBEA...

Plot for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000,000

..#KIWANJA_KINAUZWA #KUNDUCHI NI JIRANI NA HINDU MANDAL HIGHLY specialised clinic na NDC Breakpoint...

Plot for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000,000

..#KIWANJA_KINAUZWA #KUNDUCHI NI JIRANI NA HINDU MANDAL HIGHLY specialised clinic na NDC Breakpoint...

House for Rent at Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

#CHUMBA SEBULE JIKO CHOOLaki 550,000Kwamwezi Malipo miezi 6Location Kunduchi mwanzoni Call/whatsp069...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kunduchi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA# APARTMENT IKO-DAR-ES-SALAAM MAHALI MBEZIBEACH KILONGAWIMA N...

1 Bedrooms House for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

Nyumba Inauzwa (Bungalow) (Nyumba Ya Ghorofa Tatu Inauzwa)Mahali:- Kunduchi Beach ( 0710013234 ) ( 0...

2 Bedrooms House for Rent at Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

NYUMBA NZURI SANA 🏡🏘️ INAPANGISHWAMAHALI: KUNDUCHI BEACH 🏖️ INA VYUMBA VIWILI CHIMBA KIMOJA MASTE...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kunduchi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA# APARTMENT IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- KUNDUCHI MTONGANI———...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ KUNDUCHI MWANZONI______________________#CHUMBA_SEBU...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kunduchi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTMAHALI- MBEZIBEACH KILONGAWIMA NEAR KUNDUCHIKODI...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kunduchi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT #IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- KUNDUCHI MWANZONI—...

House for Rent at Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 380,000,000

.....#0755532554☄️KIWANJA KINAUZWA….Kuna nyumba tatu za kupangisha↪️MAHALI: Kunduchi Beach🟩UKUBWA: ...

Plot for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

#kiwanjakinauzwa#kiwanjabaharibeach#kiwanjakinauzwakunduchibeach#kiwanjakunduchibeach#kiwanjakinauzw...

5 Bedrooms House for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000,000

NYUMBA INAUZWA: KUNDUCHI BEACH AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUPDATE LISTED: 25/03/2025HOUSE LOCATION:...

5 Bedrooms House for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 850,000

NICE 5BEDROOMS HOUSE 🏡🏘 FOR SALELOCATION: KUNDUCHI BEACH 🏖 (MADINI)WITH 5MASTER BEDROOMS SITTING ...

House for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

#CHUMBA SEBULE JIKO CHOOBei laki 300,000LocationKunduchi Nyumba mpyaa kabisaMpaka tarehe mojaa zinak...

4 Bedrooms House for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam

$ 850,000

🏡HOUSE FOR SALE IN KUNDUCHI MADINI🏠COUNTRY:TANZANIACITY: DAR ES SALAAMLOCATION: KUNDUCHI MADINIPLO...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kunduchi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 300,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba APARTMENT INAPANGISHWA 🏘MAHALI : KUNDUCHI BEACH 🔸 CHUMBA KIMOJA CH...