Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam


Jamani jamani wateja wetu sasa hvi mshindwe nyie tuu tumewaletea miradi mikali na bei ya kawaidaida eneo hilo🌟
⭐Eneo lipo madale kwa kawawa
⭐Umbali kutoka lami ni mita 700 tu
⭐Eneo lina viwanja vitano na vimekatwa kuanzia sqr meter 500 unaweza kuunganisha viwanja viwili
⭐Bei ni 35000 kwa sqr meter 1
⭐Viwanja vipo katika mtaa mzuri na vina barabara ya mtaa
⭐Karibu tukuhudumie 🙏 kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia no zifuatazo 👇👇
📲Call and whatsapp 0626754367/0689396967