Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kiwanja sukari kipo katikati ya fens pande 2
Ukubwa-sqm 800
Kimepimwa bado Hati
Bei-ml 68 maongez
Location- madale flamingo
Umbali- ni km 1.2 kutoka main road flamingo
Karibuni 0742892195 call whatsappp
#madaleplots#viwanjadaressalaam #viwanja #nyumba #realestateagenttanzania #plotforsale