Plots for sale at Mawasiliano, Morogoro


โญ HII SIO YA KUKOSA KABISAโญ
๐ธ๏ธjamboland_real_estate tumewaletea viwanja vizuri eneo la MLANDIZI CHEKERENI.
โญ SIFA ZA VIWANJA VYETU.
๐ธ๏ธ Viwanja vipo kilometer 9 kutoka barabara kuu ya MOROGORO.
๐ธ๏ธ Matumizi ya viwanja hivi ni makazi na biashara
๐ธ๏ธ Huduma muhimu zipo kama vile maji,umeme
๐ธ๏ธ Viwanja vyote vimepimwa.
๐ธ๏ธ Uhakika wa HATI ya wizara.
โญ NAMNA YA MALIPO.
๐ธ๏ธ Mfumo wetu wa malipo ni rafiki sana kuna njia mbili za kumiliki kiwanja kutoka jamnoland_real_estate
๐ธ๏ธ Mfumo wa CASH na mfumo wa AWAMU(MKOPO). Ambapo mteja atalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi 12.
โญGHARAMA ZA KIWANJA.
๐ธ๏ธ Kwa malipo ya CASH bei yake ni Tsh. 6000/= kwa mita moja mraba.
๐ธ๏ธ Kwa malipo ya AWAMU bei yake ni Tsh. 8000/= mteja ataanza na kianzio cha laki tatu tu (300,000/=) kisha atalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi 12.
โญ MAWASILIANO:
๐ 0677 221113
๐ 0677 221115
๐ 0677 221116
๐ 0677 221118