Plots for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
KAMPUNI YA RAMAHA LAND TUMEKULETEA SITE MPYA YENYE VIWANJA ZAIDI YA 300 KWA SH 1,600,000/
_____________________________________
0741194541 , 0699088721)!0674582245whtasp
____________________________
Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi Mipeko zilipo site zetu.
UKUBWA WA VIWANJA
Fut 50 kwa 40 Tsh 1,600,000/ anza na laki nane
KWA MITA KUNA MITA
12×15= 1,600,000/
24×15= 3,200,000/
24×30= 6,400,000/
30×36= 9,600,000/
24×45= 9,600,000/
Anza na 50/% nusu ya bei kisha ulipe kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu.
Site hii ina sifa zote
Ni tambarale
Maji yapo
Umeme upo
Imepakana na shule ya msingi ya Mipeko C
Ipo karibu na sekondari ya Tambani
Imepakana na eneo lililotengwa kwa ajili ya zahanati.
KUNA SITE ZINGENE ZAID YA KUMI UNAWEZA KUANZA NA LAKI TANO KISHA UKALIPA KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITANO HADI SITA
Kwa ukubwa wa fut 50 kwa 40 kuna
Site ya 1,200,000/
Site ya 1,300,000/
Site ya 1,500,000/
Site ya 1,600,000/
Site ya 1,800,000
Site ya 2,000,000/
Site ya 2,200,000/
Site ya 2,500,000/
Site ya 3,000,000/
ZOTE ZIPO MBAGALA MBANDE MIPEKO
Njoo utembelee leo. Ukifika ofisini kwetu gari za kukupeleka site ni bure kabisa. Una ngoja nini.
RAMAHA LAND ni baba lao
Kwa mawasiliano zaidi piga 0741194541 ,0699088721 au 0674582245