Plots for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 240,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA RAMAHA LAND. ANZA NA LAKI TATU KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITANO
_____________________________________
0699088721)!0674582245whtasp
_____________________________________Kampuni ya RAMAHA LAND
Imekukuletea site mpya yenye viwanja 100 vyenye ukubwa wa fut 50 kwa 40 kwa sh 1,500,000/ tu.

Pia unaweza kuunganisha kuanzia viwili nakuendelea

Anza na laki tatu kisha kwa kila mwezi lipa 240,000 x 5 utakuwa umemaliza deni.

Ndugu yangu hii siyo ya kukosa mwanzo tulikua na ofa ya viwanja 250 kwa utaratibu kama huu kwa sasa ni viwanja 100 tu navyo vimepakana na sekondari ya Tambani kule kule kwenye site ya viwanja 250 vilivyoisha.

Umeme upo hapo hapo ni nguzo tatu tu na viwanja ni tambarale safi kabisa ukifika utajionea mwenyewe.

Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi saiti ______________________________________
Huduma zote za kijamii zipo kwa mfano
Maji✓
Shule✓
Umeme✓
Zahanati✓
Barabara✓

Ofisi yetu ipo wazi kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Njoo ofisini twende site ukachagua kiwanja bora kwa makazi bora na salama.

Na unaweza ukaunganisha zaidi ya kimoja

Karibuni sana wateja KAMPUNI YA RAMAHA LAND uaminifu ni %%%100%%%

_____________________

Similar items by location

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

NYUMBA MPYA INAUZWA IPO MBAGALA CHAMAZI MAGENGENI DAR ES SALAAM BEI MILIONI 110,000,000/= MILIONI075...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

NYUMBA MPYA INAUZWA IPO MBAGALA CHAMAZI DAR ES SALAAM BEI MILIONI 55,000,000/= MILIONI0759128747 071...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 100,000,000

NYUMBA MPYA INAUZWA IPO MBAGALA MAJI MATITU DAR ES SALAAM BEI MILIONI 100,000,000/= MILIONI075912874...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 23,000,000

NYUMBA INAUZWA MBAGALA CHAMAZI MAGENGENI DAR ES SALAAM BEI MILIONI 23,000,000/= MILIONI 0759128747 0...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 36,000,000

NYUMBA INAUZWA MBAGALA CHAMAZI DAR ES SALAAM BEI MILIONI 36,000,000/= MILIONI 0759128747 06244365030...

House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

👉 BEI IMESHUKA NOW ML 25 ENEO SQM 400 📍 MBAGALA KIZUIYANI KM1 KUTOKEA BARA BARA KUU YA KILWA ROD ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

📌 MBAGALA MAJIMATITU APARTMENT ZINAUZWA 👉ZIPO 6 ZIMEGAWANYIKA KWENYE MAGETI MAWIRI🛖 GATE LA KWAN...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

NYUMBA MPYA INAUZWA IPO MBAGALA CHAMAZI DAR ES SALAAM BEI MILIONI 800759128747 07120583570624436503 ...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA MPYA, VYUMBA 4, TSHS.80 MILIONI, MBAGALA-CHAMAZI/ MIKUMI.Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450.Umi...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA MPYA, VYUMBA 3, TSHS.118 MILIONI,MBAGALA-CHAMAZI/MIKUMI.Kiwanja SQ.550.Umiliki ni MKATABA WA ...

House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

👉 BEI IMESHUKA NOW ML 25 ENEO SQM 400 📍 MBAGALA KIZUIYANI KM1 KUTOKEA BARA BARA KUU YA KILWA ROD ...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 47,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku ilulu nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiroo...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 100,000,000

NYUMBA MPYA INAUZWA IPO MBAGALA CHAMAZI DAR ES SALAAM BEI MILIONI 1000759128747 07120583570624436503...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 47,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku ilulu nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiroo...

House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

👉 BEI IMESHUKA NOW ML 25 ENEO SQM 400 📍 MBAGALA KIZUIYANI KM1 KUTOKEA BARA BARA KUU YA KILWA ROD ...

3 Bedrooms House for Rent at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Nyumba inapangishwa ni stand alone house, bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea. Nyu...

2 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 88,000,000

Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nicheki WhatsApp 0652 618 143 0759 203175 Boss wangu hii ni nyumb...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 36,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM DAININGIROOM KITCHEN TOIL...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 88,000,000

🏠 NYUMBA INAUZWA IPO MBAGALA CHARAMBE MAJIMATITU WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI BEI MILIONI 88,IN...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroo...