Plots for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 9,600,000
Project
Yes

KAMPUNI YA RAMAHA LAND TUMEKULETEA SITE MPYA YENYE VIWANJA ZAIDI YA 300 KWA SH 1,600,000/
_____________________________________
0741194541 , 0699088721)!0674582245whtasp
____________________________

Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi Mipeko zilipo site zetu.

UKUBWA WA VIWANJA
Fut 50 kwa 40 Tsh 1,600,000/ anza na laki nane

KWA MITA KUNA MITA
12×15= 1,600,000/
24×15= 3,200,000/
24×30= 6,400,000/
30×36= 9,600,000/
24×45= 9,600,000/

Anza na 50/% nusu ya bei kisha ulipe kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu.

Site hii ina sifa zote
Ni tambarale
Maji yapo
Umeme upo
Imepakana na shule ya msingi ya Mipeko C
Ipo karibu na sekondari ya Tambani
Imepakana na eneo lililotengwa kwa ajili ya zahanati.

KUNA SITE ZINGENE ZAID YA KUMI UNAWEZA KUANZA NA LAKI TANO KISHA UKALIPA KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITANO HADI SITA
Kwa ukubwa wa fut 50 kwa 40 kuna
Site ya 1,200,000/
Site ya 1,300,000/
Site ya 1,500,000/
Site ya 1,600,000/
Site ya 1,800,000
Site ya 2,000,000/
Site ya 2,200,000/
Site ya 2,500,000/
Site ya 3,000,000/

ZOTE ZIPO MBAGALA MBANDE MIPEKO

Njoo utembelee leo. Ukifika ofisini kwetu gari za kukupeleka site ni bure kabisa. Una ngoja nini.

RAMAHA LAND ni baba lao

Kwa mawasiliano zaidi piga 0741194541 ,0699088721 au 0674582245

Similar items by location

House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

NYUMBA INAUZWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBAGALA CHAMANZI KWA MKONGO_____________UKUBWA WA KIWANJA...

House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI MTAA WA DOVYA NYUMBA NZURI SANA MPYA KABISA IME JENGWA KISASA IKO VZURI S...

Sh. 35,000,000

NYUMBA IPO MBAGALA SAKU MZAMBALAUNI INA UZWA TSH MIL 35 TUMCHAWI RANGI TUINA VYUMBA VNNE VYA KULALA...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

#NYUMBA 🏠 I N A U Z W A LOCATION MBAGALA CHAMAZI NYUMBA NZURI SANA YA KISASA YA FAMILIA -----------...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

#NYUMBA🏠 I N U Z W A LOCATION MBAGALA CHAMAZI NYUMBA NZURI SANA YA KISASA YA FAMILIA --------------...

House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

Nyumba inauzwa IPO mbagala maji matitu nyumba Ina vyumba 8 nyumba ya biashara nyumba umeme upo maji ...

House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

Nyumba inauzwa IPO mbagala maji matitu nyumba Ina vyumba 8 nyumba ya biashara nyumba umeme upo maji ...

Plots for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 2,000,000

OFA YA VIWANJA BADO INAENDELEA ....Changamkia ofa viwanja, ndugu mtanzania kwa bei za kizawa. Kutok...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

NYUMBA NZURI SANA INAUZWAMBAGALA MAJI MATITUPLOT SIZE 15*20MITA CHACHE TOKA BARABARA KUUSALES AGREEM...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

NYUMBA INA UZWA TSH MIL 130IPO MBAGALA CHAMAZI MFENESINI WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI INA VYUMBA...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

House For Sale Location:Mbagala Chamazi Plot Size Sqm 700Documents:Sales Agreements 4 Bedrooms All M...

House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

GHOROFA NZURI MNO INAUZWA MBAGALA KITONGA DAR###INA FULL TITTLE DEED÷÷÷÷VYUMBA 7 KULALA 4 MASTERS,SE...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

NYUMBA I N A U Z W A TZS 110 MILIONILOCATION MBAGALA CHAMAZI DAR ES SALAAM TZ √ VYUMBA 3 VYA KULALA ...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 100,000,000

HOUSE FOR SALEDATE LISTED 03/06/2025HOUSE FOR SALE/ NYUMBA NZURI SANALOCATION: MBAGALA CHAMAZIFIXE...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

HOUSE FOR SALEDATE LISTED 03/06/2025HOUSE FOR SALE/ NYUMBA NZURI SANALOCATION: MBAGALA CHAMAZIFIXE...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

NYUMBA KARI SANA INAUZWA NA MWENYEWE IPO MBAGALA CHAMAZI KWA MKONGO HIIII NYUMBA NI KLOC : CHAMZI KW...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA MPYA, VYUMBA VINNE (4) TSHS.110 MILIONI,MBAGALA CHAMAZI.Hii ni nyumba nzuri ya kisasa yenye n...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

DATE: 4/4/2025HOUSE FOR RENT: APARTMENTS ASKING PRICE: LAKI 3TERMS OF PAYMENT: MIEZI 4DIRECTION: MB...