Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 2,000,000
Project
Yes

TUNATOA HATI BURE KABISA HAPA

ENEO LIPO ZINGA BAGAMOYO

📌 Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka mwaka mzima yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa mwaka mzima.

📌 Malipo utaanza na 2milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya mwaka mzima.

📌 Ukimaliza malipo hati yako unaikuta mezani ofisini kwetu.

📌 Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

📌 Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

📌 Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUMB...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT 2 NA FREM ZINA UZWA MBEZI KWA MSUGURI -----SQMT 500------SERVICE CHARGE 30,000/=BEI MILI...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

CHUMBA MASTER | SEBULE KUBWA NA JIKO. KUBWA SANA. KODI 500,000/= ×6 TU__MBEZI KWA MSUGURI HAPA MBIO ...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 750,000,000

KIWANJA KINAUZWAKIPO ~ DAR ES SALAAM TzMAHALI - MBEZI BEACH AFRICANA _____________________________UK...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Second beach plot for saleSqm 1600 ,price $400k📍Mbezi beach☎️0752734327

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 900,000

NYUMBA INAPANGISHWAIPO - DAR ES SALAAM🍅🍅ENEO-MBEZI BEACH SHOPPAZZ NYUMBA LAMIBEI -LAKI 9USAFI BURE...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

(200,000 × 6) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗞𝗔𝗔APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUMB...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location mbezi kibanda cha mkaa km 2Kodi 200000 kwa mwezi ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

#VYUMBA_VIWILIAPARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TZ MAHALI-MBEZI BEACHKODI TSHS MIL 1,200,000/=...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#IPO WAZI IPO WAZI IPO WAZI KODI NI 250X5, 6. NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA .#KODI NI ...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUMB...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUMB...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUMB...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

DATE: 25/1/2026HOUSE FOR RENT: APARTMENT ASKING PRICE: MILIONI 1.2TERMS OF PAYMENT: MIEZI 6DIRECTIO...

House/Apartment for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 900,000,000

Nyumba ZinauzwaMahali: Mbezi Magufuli Bus TerminalBei: Milioni 900☑️Ukubwa: Sqm1385☑️Umiliki: Hati I...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

3 bedroom 2 house in one compound For rent tsh laki 600000 Location mbezi beach jogoo

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 950,000

#VYUMBA_VITATU APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH MAKONDE ______________KO...

4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 3,000,000

STAND ALONE INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH MAKONDE ______________KODI TSH MIL 3...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X6)MBEZI KIBANDA CHA MKAA——APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6💥APAR...