Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

SWIPE LEFT ➡️kuona video za eneo lenyewe

KAWAIDA YETU KUUZA ENEO LIKIWA SAFI NA MUONEKANO MZURI

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO 2 KWENYE FENSI IMEBAKI 1 TUU KODILAKI 300,000X4X5X6APA...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🏡House For Rent #Stand Alone Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAA Upande Wa Kulia Kama Unaenda Mbezi Di...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,400,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI -----Vyumba 2 vya kulala kimoja master b...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000X6) MBEZI KIBANDA CHA MKAA 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖NYUMBA KUBWA NZURI ...

House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

NYUMBA INAUZWA ------------------------------📌MBEZI MALAMBA MAWILI📌Umbali: KILOMETA 1 KUTOKA LA...

3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 23,000,000

PAGALE INAUZWA CONTACT....LOCATION MBEZI KIBAMBA KWA MANGIBEI MILLION 23 MAONGEZI YAPOINA VYUMBA ...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

Kodi ni 600,000/= kwa mwezi [Kuanzia miezi mitatu tu (3)]💎Vyumba 2 kimoja master 💎Sebule kubwa💎Ji...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

:NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWEITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/11/2025 KUONA NDANI RUKSA EN...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI 300,000/= X 6 ITAKUA WAZI ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA YA FAMILIA YENYEWE ZINAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6MPYA MPYA !!!🌟 NYUMB...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI 300,000/= X 6 ITAKUA WAZI ...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI 300,000/= X 6 ITAKUA WAZI ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🇹🇿Apartment Classic For Rent Location: MBEZI MWISHOKwa YUSUPH Distance: KM 1 Kutoka Morogoro Road ...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

NYUMBA INAPANGISHWAIPO - DAR ES SALAAM📍ENEO- TEMBONI Upande wa kulia kama unaenda mbezi📍BEI - 120,...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

KODI TSH 600000 X5APATIMENT ZIPO MBEZI MWISHO KUTOKA BARABARANI MITA 700 HADI KWENYE NYUMBABODA BODA...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

KODI TSH 600000 X5APATIMENT ZIPO MBEZI MWISHO KUTOKA BARABARANI MITA 700 HADI KWENYE NYUMBABODA BODA...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

KODI TSH 600000 X5APATIMENT ZIPO MBEZI MWISHO KUTOKA BARABARANI MITA 700 HADI KWENYE NYUMBABODA BODA...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 350,000/=...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA #VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#VYUMBA VYOTE MASTAINAPANGISHWA # APARTMEN...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

(600,000X6) MBEZIMWISHO MAGUFULI KWA YUSUPH ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖Kodi ni 600,000/= kwa mwezi [Kuanzia miezi mi...