Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


KIMELIPIWA KIMOJA, KIMEBAKI KIMOJA ๏ฟฝ
Viwanja Vipo mbezi mpiji magoe (KILIPO KIGANGO CHA ROMAN CATHOLIC).
Vimepimwa na utapata hati miliki
Bei kila kimoja ni millions 7,800,000/=
Ukubwa ni mita 20 kwa 20 kwa kila kiwanja kimoja.
Kuna maji na umeme.
Ni mita 800 toka main road ya mpiji magoe.
0745559598 nipigie/WhatsApp



















