Plots for sale at Mbweni, Dar Es Salaam
KIHARAKA BADO VIWANJA (4) ๐ฅ๐ฅ
2021 tulikuwa na mradi hapa Kiharaka mara baada ya kuuza mradi wote tuliweka akiba viwanja 4 na sasa rasmi tunatangaza vipo sokoni .
Location: Viwanja vipo Pembeni ya barabara ya kiharaka inayotoka Mbweni kwenda Mapinga
Bei : SQM 1 = 30,000 Tshs pamoja na Hati miliki , ujanja ni kuwahi wekeza na lapexproperties
#lapexproperties #viwanja #mashamba #hatimiliki