Plots for sale at Mlandizi, Pwani
VIWANJA VIZURI 2 PAMOJA, MLANDIZI.
Umbali ni kilomita 2 kutoka Barabara ya Morogoro.
Kwa Bodaboda ni Tsh.1000.
Kimoja kina ukubwa wa SQM.1900- Tshs.10 Milioni
Cha Pili kina ukubwa wa SQM.1400-Tshs.8 Milioni.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Mtaa unajengeka kwa kasi.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.