Plots for sale at Mwananyamala, Dar Es Salaam


Nani bado haja daka kiwanja bado ?? kama upo ni Dm nikupe kiwanja kwa Tsh.67,000 tu π―π―
Viwanja vyetu vinapatikana Chalinze
-Ni km 4 tu kutoka main road mpaka site
-Bei ya sqm 1 ni Tsh.2,000 tu
- Bei ya kiwanja cha sqm 400 (20*20) ni Tsh.800,000 tu
-Ukilipia cash utapata punguzo la 10%
-Utalipia Tsh.67,000 tu kila mwezi
Viwanja vyetu vimepimwa na Ramani ziko Approved kutoka wizarani, na pindi utakapo maliza maliza malipo yako tu basi
Utapata na Hati ya kiwanja chako ni Hati kubwa ( Hati ya wizara)
Tupigie No.βοΈ 0699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala