Plots for sale at Mwananyamala, Dar Es Salaam


Chalinze bado vipo mabosi zetu, yani ndo kwanza inapamba moto π₯π₯
Huu ni mradi wa viwanja uliopo chalinze utaweza kumiliki kiwanja kwa unafuu zaidi na utakapo maliza malipo yako tu utapata
Hati ya kiwanja chako π―π―.
CHALINZE (Pingo)
-Bei ya sqm 1 ni Tsh.2,000
-Bei ya sqm 400 (20*20) ni Tsh.800,000 tu
-Ukilipia cash unapata punguzo la 10%
- Malipo ya kidogo kidogo utalipia kila mwezi ama kila wiki
-Muda wa malipo ni miezi 12
Malipo ya mwezi
-Utalipia Tsh.67,000 tu kila mwezi
Malipo ya wiki
-Utalipia kila wiki Tsh.15,400 tu kila mwiki
Ukubwa wa viwanja ni kuanzia
Sqm 400
Sqm 600
Sqm 800
Sqm 1,000 na kuendelea
SIFA ZA MRADI
-Viwanja vyote vimepimwa na Ramani yake iko approved na Halmashauri
-kila kiwanja kina pin (Alama)
- Mradi huu umepakana na Kiwanda cha tiles kilichopo Chalinze
-Mradi huu umepakana na plan ya mwendokasi itakayopita chalinze
-Ni km 4 tu kutoka barabara kuu hadi kufika kwenye mradi
- Baada ya malipo yako kukamilika utapata hati ya kiwanja chako (Hati kutoka wizarani)
Tupigie No.βοΈ 0699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala