Plots for sale at Nala, Dodoma






DODOMA NALA
🔥mradi upo km 6 kutoka dodoma mjini
🔥mradi upo Mita 100 kutoka barabara kuu
🔥bei ya sqm 1 cash ni 20,000 tsh na kwa installment ni 23,000 tsh
🔥HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZIPO
Mfano Sqm 400
*KWA NALA* *(Sqm 1=20,000 tsh cash, Sqm 1=23,000 tsh installment*)
✅bei ya cash inakua 8,000,000 tsh unalipa kwa muda wa miezi 3 kila mwezi 2,666,666.67 tsh
✅bei ya installment inakua 9,200,000 tsh unaanza na 20% down payment ambayo ni 1,840,000 tsh kama first installment alafu inayobaki ambayo ni 7,360,000 tsh ambayo unailipa kwa miezi 12 kila mwezi 613,333.33tsh