Plots for sale at Ntyuka, Dodoma
Vimebaki vichache wateja wangu đ„đ„đ„
Karibu nikuuzie viwanja vizuri Dodoma mjini(Chidachi Ntyuka)
â¶Km tano kutoka Dodoma mjini
â¶viwanja vimepimwa na Vina hati
â¶Maji, barabara na umeme vipo hadi site
â¶Karibu na SGR na hospital ya DCMC
â¶Viwanja havina migogoro
â¶Viwanja vya makazi na biashara
â¶ukubwa kuanzia sqm 400 ,500,600,700,800,1000 na zaidi
â¶Bei kuanzia mil 9.5 na kuendelea kulingana na ukubwa wa kiwanja
Mawasiliano : 0768 333 054
Huduma ya kwenda site ni bure na kila siku