Plots for sale at Ntyuka, Dodoma


Hivi viwanja viko uelekeo wa Ntyuka karibu na makazi na miundombinu ya umeme na maji. Umbali ni km 10 toka mjini. Utavipata kwa bei ya Tsh mil 4.5 ambapo kianzio ni mil 2 inayobaki unalipa ndani ya miezi 10. Ukiwa na cash ni mil 4 na HATI utapata kwa gharama hiyo hiyo. Hivyo vya sqm 700 ni mil 6 kianzio mil 2. Tuwasiliane 0713 951382 au fika ofisi zetu Ntyuka mkabala na ofisi ya mtendaji wa Kata.