Plots for sale at Ntyuka, Dodoma
Kiwanja kizuri kikubwa kinauzwa Dodoma Mjini(Housing Estate) Eneo ni Chidachi Ntyuka
SIFA ZA KIWANJA
■Kipo ndani ya km 5 kutoka Dodoma mjini
■Ukubwa wa viwanja ni sqm 5000
■Matumizi ni Housing Estate,kizuri kwa ujenzi wa apartments
■Maji,umeme ,barabara,hospital ,shule vyote vipo karibu na kiwanja
■Karibu na Stesheni ya SGR
■Bei ni mil 80 (Mazungumzo yapo)
■Kwenda site kuona kiwanja ni buree kabisa
Nipigie leo kwa no
0768 333 054