Plots for sale at Vikindu, Pwani
BEl YA KIWANJA NI LAKI SABA TU (700,000/=) Kwa malipo ya Cash na MILIONI MOJA TU (1,000,000/=) Kwa malipo ya awam. Ni Viwanja Vizuri sana VIMEPIMWA. VINAPATIKANA VIKINDU VIANZI CHANG’OMBE Piga /Whatsap 0711677199/0744847199
UKUBWA kwa kila kiwanja ni Futi 50 X 40. Unaweza Kuunganisha Viwanja zaidi ya Viliwi na kuendelea kulingana na bajeti yako.
Viwanja vipo Vikindu Vianzi Chang’ombe , kuna Makazi ya watu tayari, Vimezungukwa na huduma muhimu jirani, Umeme upo jirani, Maji yapo, Shule, kituo Cha Afya, Usafiri kama Bajaji Umefika n.k
USAFIRI NI UHAKIKA, kuna daladala za kutoka
Gerezani hadi Vikindu, Tandika hadi
Vikindu, Temeke hadi Vikindu , Kigamboni Vikindu, Posta Vikindu n.k
Piga/whatsaap 0711677199/0744847199