Plots for sale at Vikindu, Pwani


Hii site yetu mpya ipo vikindu magogo matatu
Km moja tu kutoka barabara kuu lami ya kilwa road
Yaan kiufupi ukishuka tu kwenye daladala unaingia kwako
Ukubwa wa viwanja ni futi 50 kwa 40 ukubwa wa kujenga nyumba moja kubwa yenye mahitaji yako muhimu
Bei yetu ni nafuu sana 5,800,000 tuu
Viwanja vina huduma zote za kijamii
N.b viwanja hivi na barabara ya lami ni pua na mdomo