Plots for sale at Vikindu, Pwani


Ofaπ₯ofaπ₯ofaπ₯njoo ujipatie kiwanja kwa bei nafuu futi 40 kwa 50 bei yake ni laki 9 kwa cash na milioni 1na laki 1 kwa awamu viwanja vipo vikindu vianzi(chang'ombe) shule ya msingi, secondary, zahanati, maji na umeme vyote vipo karibu na mradi KARIBUNI SANAπ0718965624 kwa maelezo zaidi...KWENDA SITE KUONA NI BURE KABISA HAKUNA MALIPO YA AINA YOYOTE...
RAMADHAN MUBARAK π