1 Bedroom Apartment for Rent in Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Description
🏠 APARTMENT INAPANGISHWA – MBEZI BEACH
📍 Location: Mbezi Beach (Upande wa Chini), Dar es Salaam
💰 Kodi: TSH 700,000 kwa mwezi
📆 Malipo: Miezi 6
✨ Apartment mpya ya kisasa (self-contained)
Inajumuisha:
• Chumba 1 cha kulala (kina AC na kabati)
• Sebule nzuri
• Jiko lenye makabati na heater
• Choo na bafu
🔹 Gypsum ceiling
🔹 Tiles za kisasa
🔹 Madirisha ya sliding
🔹 Umeme wa LUKU (meter yake)
🔹 Maji ya bomba (yanapatikana masaa 24)
🔹 Maegesho ya magari yapo
🔹 Eneo limezungushiwa fence + garden nzuri
🔹 Paving blocks
📞 Wahi sasa: 0746178918















