1 Bedroom House for Rent in Kigamboni Darajani, Dar Es Salaam

Amenities
Description
🏡 CLASSIC HOUSE INAPANGISHWA – KIGAMBONI DARAJANI
Wahi mapema upate nyumba nzuri ya kisasa Kigamboni Darajani. Nyumba hii ni chumba kimoja master (self-contained) pamoja na jiko jipya la kisasa.
✨ Sifa za nyumba:
* Chumba 1 master bedroom (self-contained)
* Jiko jipya la kisasa
* Umeme wa Luku (prepaid)
* Mazingira safi na tulivu ya Kigamboni Darajani
* Classic house ya kisasa
💰 Kodi: Laki mbili na hamsini (250,000/=) kwa mwezi
📍 Eneo: Kigamboni – Darajani
📞 Wahi mapema kabla haijachukuliwa!
#NyumbaInapangishwa #Kigamboni #Darajani #ChumbaKimoja #Luku NyumbaYaKupanga DarEsSalaamdalaalisimbakisiwani















