1 Bedroom House for Rent in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Description
🏡 CHUMBA CHA MASTER BEDROOM NA JIKO
KINAPANGISHWA
📍 Kimara Korogwe jiran na lami
💰 Kodi: Tsh 300,000 kwa mwezi
📅 Kuingia: 15/07/2026
📄 Masharti ya malipo: miezi 6
🏠 MAELEZO YA NYUMBA
Chumba kimoja cha master bedroom na
Jiko
Ufikiaji ni rahisi
Mazingira mazuri
Usalama upo
Uzio ✅
Parking ✅
A/C ipo ✅
Heater ✅
Mita ya maji na umeme ni yako
☎️ Wasiliana nami kupitia:
Simu na WhatsApp: 0713661530_0783661530
GHARAMA ZA HUDUMA ZA WAKALA
Ada ya huduma: Tsh 20000 (italipwa na mteja kwa ajili ya kutazama nyumba/vyumba)
Ada ya wakala/commission: kodi ya mwezi mmoja (italipwa na mteja/mpangaji)
0713661530_0783661530















