1 Bedroom House for Rent in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam









Amenities
Description
🇹🇿 MASTER BED ROOM NZURI YA KISASA – INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE.
📍 Eneo: korogwe.
🕒 Umbali wa dakika 10 kwa kutoka stand ya mwendo kasi usafili bodaboda 1000 tu.
🏠 SIFA ZA NYUMBA:
🔹 Chumba kimoja (Master Bedroom) kikubwa
🔹 Umeme &(Submeter yake binafsi)
🔹 Maji yanapatikana ndani masaa 24/7hrs
🔹 Fensi & Parking hamna.
🔹Mazingira sana tulivu na usalama wa uwakika hakuna uswahili.
👉Nyumba hii ipo wazi kabisa kuhamia muda wowote.
GHARAMA:
🔸 Kodi: Tsh 150,000 × 6 (Miezi sita)
🔸 Malipo ya dalali: Tsh 150,000
🔸 Service charge: Tsh 20,000
📞 #Piga_simu👇
0753172516















