1 Bedroom House for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Description
Chumba sebule choo na open kitchen
Nyumba mpya imekamilika unalipia na kuingia
Kod 250000 x 6 wahi
Umeme inejitegemea maji dawasco kwa bil
Nyumba ipo kimara mwisho km1.5 kutoka mwendokas
Nyumba ipo ndan ya fanc parking kubwa mazingila mazuli sana
Gharama za kupelekwa kuona 20k na Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654 101710
0787 205300















