1 Bedroom House for Rent in Sinza Madukani, Dar Es Salaam

Amenities
Description
✨ PREMIUM LUXURY BEDROOM – SINZA MADUKANI ✨
Unatafuta chumba cha kifahari chenye hadhi ya juu? Hii ndio option sahihi kwako! 🛏️🔥
🔹 Bedroom ya kisasa yenye decorations za gharama na mvuto wa kipekee
🔹 Mazingira safi, tulivu na salama 🏡
🔹 Ipo Sinza Madukani – location ya kifahari na rahisi kufikika
🔹 Inafaa kwa wanaopenda maisha ya class na comfort
💰 Bei: 400,000 x 6
💼 Agent Commission: 400,000
🛠️ After Service Charge: 30,000
📞 Call: 0774774949
📲 WhatsApp: 0774774949
🚨 Chumba kama hiki hakikai muda mrefu! Wahi sasa ujihakikishie nafasi yako ya kuishi maisha ya luxury! ✨















