Search

1 Bedroom House for Sale in Mwanga, Kilimanjaro (0.25 acre)

video thumbnail
Sh. 4,000,000

Description

NYUMBA PAMOJA NA ENEO LAKE LINAUZWA.
Nyumba yenye chumba ki moja iliyopo Mwanga kituo cha afya jirani na Mwanga Stendi.

UKUBWA WA ENEO: Ni Robo Heka iliyo jaa.
BEI:Mwenyewe anataka Million 4 tuu.
Wahi mapema.

Unaweza Lima au kujenga nyumba za wapangaji.
Wasiliana nami 062536916