10 Bedrooms House for Sale in Mipango, Dodoma (700 sqm)


Type
House
Bedrooms
10
Plot Size
700 SQM
Nearest Road
500m — Arusha Road
Amenities
Description
🏡 Nyumba Inauzwa – Mipango, Dodoma
Muundo wa Nyumba
✅ Chumba master na jiko
✅ Jumla ya vyumba 10
✅ Vyumba vyote vina wapangaji tayari
📐 Ukubwa wa Kiwanja: Sqm 700+
📍 Mahali: Mipango, Dodoma
✔️ Mita 500 kutoka Arusha Road
✔️ Mita 100 kutoka Chuo cha Mipango
🌟 Faida za Eneo
* Huduma zote za kijamii zinapatikana
* Eneo zuri kwa uwekezaji
* Mapato ya kodi yanaendelea kutokana na wapangaji waliopo
💰 Bei: TSh 170,000,000
NB: Unaweza kubadilisha matumizi ya nyumba kulingana na mahitaji yako.
📞 Mawasiliano
0787037986
0757037986
Karibuni Bupalu Real Estate 🏠✨















