Search

2 Bedrooms Apartment for Rent in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 380,000/month

Description

HIZI APARTMENT ZIPO 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI MAFUNDI WANAMALIZIA MABORESHO UNAPEWA NYUMBA MPYA

#SEBULE YA WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
#CHOO CHA NDANI(HAKUNA MASTER)
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
STORE

LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA NDANI

TAILZY GIPSAM ALUMINIUM SLIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING HAKUNA

LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI

BEI NI 380,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI

NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 20 YA KITANZANIA MPAKA UPATE NYUMBA
simu 0659336751 au 0786085637

Similar properties in Kimara, Dar Es Salaam