Search

2 Bedrooms Furnished House for Sale in Msigani, Wazo, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 265,000,000

Description

Nyumba zipo mbili zinauzwa zote zinauzwa. Pamoja. Na vitu vyandani. Vyote
Zina. Room. 2 mbili mbili

Sebule. Jikoo Public toilet stoor

Zipo wazo. Msigani
Nikali sana nimpya hizo zinauzwa bei rahisi. Sana wadau.

Bei. Milioni. 265. Pamoja. Na vituvyake. Vyandani. Nyumba hizi nikali kinoma

Njoo ujiokote. Hizi nyumba. Sipo. Msigani. Wazo
Kuna. Rami mpya kabisa imepita

Naomba tuwasiliane.
Pamepimwa. Na pana mawe tayar

Hati ndo ipo hatua yamwisho kutoka

Dalali mstaarabu RealEstate tz

dalalimstaarabu_real_estate_tz

@dalalimstaarabu_real_estate_tz

View Listings

Similar properties in Wazo, Dar Es Salaam

3 Bedrooms House for Sale in Tegeta-Wazo, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

For Sale3 beds2 bathshouse
Dalali mstaarabu RealEstate tz