2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam
3 months ago
Sh. 350,000
Type
House
Bedrooms
2
Description
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kibugumo
<> nyumba ina vyumba viwili kimoja master sebule na jiko
✅nyumba inajitegemea
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba nzuri na ya kisasa
<> asking price tsh,, 350k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837
