2 Bedrooms House for Rent in Kigamboni Geza Ulole, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 450,000/month
Amenities
Description
Nyumba Kali zinapatikana kigamboni
loc kigamboni geza ulole
✅vyumba2 vya kulala
✅Chumba kimoja ni master
✅Seble jiko na lablic toilet
✅Nyumba ni mpyaa kabisa
✅Nyumba fully A/c vyumbani
✅Nyumba fully makabati vyumbani na jikoni
✅Nyumba Kali sana.
✅Nyumba. Mpyaa kabisa
asking price 450k per month
malipo miez 6
dalali mwez mmoja
service charger 20k.
☎️
☎️
✅kalibuni kigamboni















