2 Bedrooms House for Rent in Kigamboni Kibugumo, Dar Es Salaam

Amenities
Description
🏡 NYUMBA MPYA INAPANGISHWA – KIGAMBONI KIBUGUMO 🏡
✨ Nyumba mpya kabisa inapangishwa katika eneo la Kigamboni Kibugumo.
✅ Vyumba 2 vya kulala
✅ Kimoja ni Master Bedroom
✅ Sebule kubwa
✅ Jiko la kisasa
✅ Ndani ya fensi
✅ Mazingira mazuri na salama
✅ Nyumba mpya kabisa
💰 Kodi: Tsh 450,000 kwa mwezi
📞 0746 407 197 (Call & WhatsApp)
Usikose nafasi ya kupata nyumba bora yenye huduma muhimu na mazingira mazuri ya kuishi. Karibu sana!
#NyumbaInapangishwa #KigamboniKibugumo #Kigamboni #HouseForRent #DarEsSalaam NyumbaMpya RentalHouse PropertyTanzania DalaliKigamboni NyumbaZaKupanga KigamboniHomes RealEstateTanzania HouseHunting HomeForRent PangishaNyumba 🏡🔑✨















