Search

2 Bedrooms House for Rent in Kigamboni Maweni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000/month

Description

🏡 MODERN HOUSE INAPANGISHWA – KIGAMBONI MAWENI 🏡

Nyumba ya kisasa na yenye hadhi inapangishwa Kigamboni Maweni.

✅ Vyumba 2 vya kulala
✅ Kimoja ni Master Bedroom
✅ Sebule kubwa
✅ Jiko zuri la ndani
✅ Iko ndani ya fensi iliyozungushiwa vizuri
✅ Parking kubwa ya magari
✅ Mazingira mazuri, tulivu na salama

💰 Kodi: Shilingi 700,000 kwa mwezi

Karibu uone nyumba na ujipatie makazi bora kwa familia yako.

#ModernHouse #NyumbaInapangishwa #KigamboniMaweni #Kigamboni #HouseForRent DarEsSalaam NyumbaZaKupanga MasterBedroom ParkingKubwa FencedHouse RealEstateTanzania NyumbaKali MakaziBora RentalHouse LuxuryHome ModernLiving MaweniHomes KigamboniHomesdalalisimbakisiwani