2 Bedrooms House for Rent in Kimara Bucha, Dar Es Salaam









Type
House
Bedrooms
2
Bathrooms
1
Nearest Road
1km
Amenities
Description
🔥NYUMBA NZURI YA VYUMBA 2 INAPANGISHWA KIMARA - BUCHA 🔥
📍Kimara Bucha
🕘1km umbali kutoka stand ya mwendo kasi usafili bodaboda1000 tu kwa mguu dakika 15
#SIFA ZA NYUMBA
🔹 Vyumba viwili vya kulala
🔹 Sebule wastani
🔹 Jiko
🔹 Public toilet (ndani)
🔹 Umeme na maji vinajitegemea.
🔹Maji yanapatikana ndani masaa 24/7hrs.
🔹 Fenced & car parking kubwa sana
👉 Nyumba hii inafaulishwa kuja kuona ndani na kufanya malipo luksa kabisa inatakiwa kodi ya miezi sita kamili.
GHARAMA
🔸Kodi: Tsh 200,000 × 6 (miezi sita)
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347















