2 Bedrooms House for Rent in Shanty Town, Kilimanjaro

Type
House
Bedrooms
2
Nearest Road
6km
Amenities
Description
📍Habari za leo ndugu mteja wa Nyumba za kupanga , hapa Moshi mjini . nakuletea Nyumba ya bedrooms 2 moja master VYUMBA vyote vina makabati ya nguo sebule na jiko la makabati , nje Kuna chumba kimoja ambacho ni self , Nyumba ipo ndani ya uzio wa BOGAVILE na geti , Nyumba ipo shanty town , umbali wa dakika 6 Kwa bodaboda au gari kutoka lami , Nyumba ni nzuri na ya kuhamia tuu ...na inajitegemea 📍Kodi inahitajika 400,000x3 au 6 , gharama za kuona Nyumba ni 10,000 , MALIPO ya Dalali ya MWEZI mmoja 📍karibu sana 📞📞0672701329📞📞 #viralreels #dalalimoshi_nyumba #nyumbazakupanga #trendingvideo #todayhashtags

