2 Bedrooms House for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

Amenities
Description
NYUMBA
@
Inapangishwa
@
Bei 600.000 kwa mwez
@
Mahali sinza
@
Malipo miez 6 Na dalali 7
@
Ni vyumba 2 sebule jiko choo
@
Umeme mita yako maji shea
@
Parkingi ipo
@
Karibu Sanaa ofisini kwetu sinza LEGO
@
Garama ya kupelekwa Ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya Sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687















