2 Bedrooms House for Sale in Chanika, Dar Es Salaam
ID: 260819D6TXA








Chanika, Dar Es Salaam
21 days ago
Sh. 22,000,000
Description
Nyumba Inauzwa TSH Milioni 22
Ipo Chanika Mtaa wa Zingiziwa Wilaya ya Ilala DSM
✅️Hati halali.. malidhiano serikali ya mtaa
✔️Vyumba viwili vyote master
✔️Sebule
✔️Jiko
✔️Choo Public.
✅️Nyumba ndani ya fensi & maji safi yapo
✅️Parking kubwa.
✅️Dakika5 kwa mguu kutoka barabara kuu.
✅️HUDUMA ZA KIJAMII ZIPO KARIBU
📲 //
Nipigie simu leo Nikupeleke site.
#trend #houseforsale















