Search

2 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam (2000 sqm)

video thumbnail
Sh. 150,000,000

Description

🏘️ APARTMENTS ZINAUZWA – KINYEREZI MWISHO

πŸ’₯ Fursa adimu ya uwekezaji yenye mapato ya uhakika!

πŸ“ Location: Kinyerezi Mwisho
πŸ›£οΈ Takribani Kilomita 1 kutoka barabara ya lami.

βœ… Zinauzwa nyumba 3 za standalone, zikiwa zimekamilika kwa takribani 80%. Kazi iliyobaki ni kufunga madirisha, masinki ya vyooni na kufanya finishing ndogo kabla ya kuanza kuzipangisha.

Kila nyumba ina:

🏠 Vyumba 2 (kimoja Master)
πŸ›‹οΈ Sebule
🍽️ Jiko
🚿 Choo cha Public

πŸ“ Ukubwa wa kiwanja: SQM 2000

Kiwanja ni kikubwa na bado kina nafasi ya kujenga nyumba nyingine nyingi za biashara. Kwa ramani nzuri na ushauri wa mhandisi, unaweza kuongeza nyumba hadi 10 au zaidi kulingana na mahitaji yako.

πŸ’° Kila nyumba ikikamilika inaweza kupangishwa kwa takribani TSh 500,000 kwa mwezi, hivyo ni uwekezaji wenye faida ya muda mrefu.

⚑ Umeme tayari umeunganishwa.
πŸ“„ Nyaraka zipo na ziko tayari kwa uhamisho.

πŸ’΅ Bei: TSh 150,000,000

πŸ”₯ Fursa kama hii hazidumu sokoni. Wahi uwekezaji wako leo!

πŸ’Ό Service charge / Gharama ya huduma: TSh 50,000/=

πŸ“ž NIPIGIE CM 0744112394

Similar properties in Kinyerezi, Dar Es Salaam

2 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi, Dar Es Salaam (1100 sqm)

Sh. 80,000,000

For Sale2 beds2 baths1,100 sqmhouse
3 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 100,000,000

For Sale3 beds2 bathshouse
4 Bedrooms House for Sale in Kinyerezi, Dar Es Salaam (566 sqm)

Sh. 120,000,000

For Sale4 beds1 bath566 sqmhouse