2 Bedrooms House for Sale in Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Amenities
Description
🏢 NYUMBA ZA BIASHARA ZINAUZWA – TABATA SEGEREA, DAR ES SALAAM 🏢
💰 Bei: Milioni 160
📍 Location: Tabata Segerea
Fursa nzuri kwa mwekezaji anayehitaji mali inayoingiza kipato mara moja!
✅ Nyumba 2 zipo ndani ya compound moja.
✅ Kila nyumba ina:
* Vyumba 2 vya kulala (1 Master)
* Sebule
* Jiko
* Choo cha Public
🚰 Maji ya DAWASA yanapatikana
⚡ Kila nyumba ina mita yake ya umeme
💧 Reserve tank la maji lipo
🚗 Parking ya kutosha
🚪 Geti kubwa na mazingira salama
📍 Zipo umbali wa dakika chache kutoka barabara ya lami, eneo linalokua kwa kasi na linalofaa kwa uwekezaji.
💵 Kwa sasa nyumba zote zimepangishwa na zinaingiza TSh 500,000 kwa mwezi kwa kila nyumba, hivyo unaweza kununua na kuendelea kukusanya kodi mara moja.
🎯 Inafaa kwa:
✔️ Uwekezaji wa nyumba za kupangisha
✔️ Kuongeza kipato cha kila mwezi
✔️ Uwekezaji wa muda mrefu katika eneo lenye ukuaji mkubwa
📄 Nyaraka zipo tayari.
📞 Piga: +255 688 412 890
💵 Gharama ya Huduma: 30,000/=
Karibu Tajiri!
Wahi Sasa Offer Kabambe!
Miliki Kesho Yako Leo!!! 🏡✨















