2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 450,000

Type

House

Bedrooms

2

Description

🏠 APARTMENT INAPANGISHWA

📍 Mahali: Kimara Korogwe
🕓 Umbali: Dakika 3 tu kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi

SIFA ZA NYUMBA

🔹 Vyumba 2 (kimoja ni Master)
🔹 Sebule kubwa
🔹 Jiko
🔹 Choo cha familia (cha ndani)
🔹 Umeme na maji vinajitegemea
🔹 Fence & parking kubwa

💰 Kodi: Tsh 450,000 × 6 miezi
💰 Dalali: Tsh 450,000
💰 Service charge: Tsh 15,000

📌 Kumbuka: Mpangaji anatakiwa awe Muislam

📅 Itakuwa wazi tarehe 30/12/2025
Mteja anaweza kuja kuona mazingira ya nje na kufanya booking mwezi mmoja au miwili mapema — inaruhusiwa.

📞 Wasiliana nasi:
📲 0740 747 383 (Simu & WhatsApp)