Search
-
-

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

Type

House

Bedrooms

2

Description

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/01/2026 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
AIR-CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
PARKING
GARDEN
INAYOPANGISHWA NI YA KWANZA SIO GOROFANI NDUGU MTEJA

BEI NI 500,000/= X 6

ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA TAHADHARI (CAUTION MONEY) JUMLA INAKUA MIEZI 6 NDUGU MTEJA

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

SI

Similar properties in Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 350,000

KODI 350,000/=×6 KIMARA MWISHOAPARTMENT CLASSIC FOR RENT Location Kimara Mwisho ipo umbal dakika 8 K...

Apartment for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 350,000

KODI 350,000/=×6 KIMARA MWISHO DK 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROADAPARTMENT CLASSIC FOR RENT Locatio...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 350,000

KODI 350,000X6)APARTMENT CLASSIC FOR RENT Location Kimara Mwisho ipo umbal dk 8 Kwa miguu,Muondo#Chu...

2 Bedrooms Apartment for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 300,000 per month

#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA #LOCATION KIMARA MWISHO KM2 USAFIRI BAJAJI 1000#SIFA_ZAKE * V...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Stop Over, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER NICHUMBA SEBULE NA CHOO HAINA JIKO NYUMB...

2 Bedrooms Apartment for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 300,000

Apartment Classic For Rent ✨️ Location: KIMARA MWISHO Distance: KM 2 Kutoka Morogoro Road Usafiri 24...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam
  • Residential

Sh. 300,000 per month

HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 06/05/2026 KUONA MAL...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 350,000 per month

KOdI 350,000X6)APARTMENT CLASSIC FOR RENT Location Kimara Mwisho ipo umbal dk 8 Kwa miguu,Muondo#Chu...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 350,000

KODI 350,000X6)APARTMENT CLASSIC FOR RENT Location Kimara Mwisho ipo umbal dk 8 Kwa miguu,Muondo#Chu...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 350,000

KODI 350,000X6)APARTMENT CLASSIC FOR RENT Location Kimara Mwisho ipo umbal dk 8 Kwa miguu,Muondo#Chu...

Apartment for Rent in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 500,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1 KUTOKA LAMI BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMA...

1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 300,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1.5 KUTOKA LAMI -----Chumba Seble kubwa Jiko la kisasa Pu...

Apartment for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 150,000 per month

(150,000X4)KIMARA TEMBONI 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700___________💥 *KODI YAKE 150K X4//**ILI...

3 Bedrooms Apartment for Rent in Kimara Suka, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Residential

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAE...

Find What You're Looking for Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam