Search

23 Bedrooms House for sale in Ukonga Mazizini, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 56,000,000

Amenities

Near Paved Road
Residential License

Description

'KIJIJI KINAUZWA NA BANK' (NYUMBA 7 PAMOJA) TSHS.56 MIL,UKONGA-MAZIZINI.

Wahi ujiokotee.

Eneo ni UKONGA MOMBASA.
Njia ya kuelekea MOSHI BAR.
Mita 300 tu kutoka Lami hiyo.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,300
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.

Jumla kuna Vyumba 23.

Kitegauchumi ndio hiki sasa.
Hivyo hivyo ilivyo unakula KODI.
Ama ukupenda unaboresha au kuongeza nyumba kadhaa nyingine zaidi.

UPATE UTAJIRI HADI WANGA WAKUITE FISADI.

WAHI ITAKUFAA WEWE ZAIDI.

__________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

__________________mpg