3 Bedrooms House for Rent in Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 400,000 per month

Type

House

Bedrooms

3

Description

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO NA PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA

SIFA YA NYUMBA

HAPA KUNA NYUMBA AINA MBILI

(A) vyumba 3 vya kulala vyote ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji
Ni nyumba mpya

KODI YA PANGO

(400,000)

X 6

(B) vyumba viwilli vya kulala vyote master bedrooms sebule kubwa na jiko ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ni mpya

KODI YA PANGO

(350,000)

X 6
MAELEZO YA MWENYE NYUMBA NI MIEZI SITA 6
CHINI YA HIYO HACHUKUWI

simu 0659336751 wsp 0786085637